Rais Samia ametubia bunge la Tanzania na kutoa dira ya serikali ya awamu ya sita// Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi kupunguza hadi nusu, kiwango cha gesi chafu kinachozalishwa na nchi yake ifikiapo mwaka 2030// Rais wa Jamuhuri wa Kidemokrasia ya Kongo Félix Tshisekedi alifanya mazungumzo na mwenzake wa Kenya, Uhuru Kenyatta jijini Kinshasa.