1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.04.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Aprili 2020

Ujerumani yaidhinisha majaribio ya chanjo dhidi ya Corona// Rais Donald Trump ajiandaa kusaini sheria ya kuzuia uhamiaji// Wanasayansi 7 wa taasisi ya Utafiti na Tiba ya KEMRI wanashirikiana kwenye mradi huo wa kutafuta chanjo ya COVID 19// Mvua nyingi ambayo inanyesha katika maeneo mbali mbali nchini Kenya imesababisha maafa na hasara ya mali, maalfu ya watu wakiachwa bila makao.

https://p.dw.com/p/3bGhh