1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.02.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Februari 2021

Rais Mattarella wa Italia alaani mauaji ya Balozi wake DRC/ Bobi Wine aondosha kesi ya kupinga ushindi wa Museveni/ Urusi yawekewa vikwazo vipya na Umoja wa Ulaya/ Serikali ya Tanzania imewafungulia milango wawekezaji wakubwa na wadogo katika sekta ya madini

https://p.dw.com/p/3piZC