22.02.2018 Matangazo ya Jioni | Habari za Ulimwengu | DW | 22.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

22.02.2018 Matangazo ya Jioni

Padri aliyeongoza shughuli ya kuuaga mwili wa msichana Akwilina aliepigwa risasi katika maandamano ya viongozi na wafuasi wa chama cha upinzani nchini tanzania, chadema, amemtaka alietekeleza shambulio hilo kutoka hadharani na kuliomba msamaha taifa// Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wameonya watumishi katika jumuiya hiyo kuondokana tabia za ufisadi, uzembe na utawalamsonge/bureaucracy.

Sikiliza sauti 60:00