1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.01.2026 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Januari 2026

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanatarajiwa kukutana mjini Brussels katika juhudi za kutafuta majibu ya pamoja dhidi ya azma ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kukitwaa kisiwa cha Greenland / Polisi Uganda imesema imemkamata mbunge na afisa mwandamizi wa chama kikuu cha upinzani, National Unity Platform (NUP)

https://p.dw.com/p/57EXK
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

DW-NEWS-Kiswahili

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)