1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.01.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Januari 2021

Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya imezua hisia mseto baada ya kuwataka Wakenya kuhakiki iwapo saini walizotia zinaunga mkono mpango wa maridhiano wa BBI// Navalny anashikiliwa kizuizini tangu aliporejea kutoka nchini Ujerumani, alikokuwa anatibiwa baada ya kupewa sumu// Umoja wa Mataifa wafadhaishwa na taarifa za vitendo vya ubakaji katika jimo la Tigray.

https://p.dw.com/p/3oIn1