Tanzania: Hisia mchanganyiko zimejitokeza baada ya rais Magufuli kuwahakikishia wanadiplomasia walioko Tanzania kuwa uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika katika mazingira ya amani, huru na haki/ Watanzania hatarini kupigwa marufuku kusafiri Marekani/ Burundi: Bunge limeidhinisha sheria inayompa rais atakapoacha madaraka na kitita cha mamilioni