1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.12.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S21 Desemba 2021

Maoni ya raia wa Congo baada ya kuongezwa muhula wa Monusco+++Tume ya Burundi yasema mauaji ya 1972 yalikuwa ya kimbari+++Umoja wa Ulaya umeidhinisha chanjo ya tano dhidi ya ugonjwa wa Covid-19+++Kundi la mataifa yenye kuvungu ya kiviwanda dunia G7 yamelaani hatua ya China katika kuvuruga demokrasia ya Hong Kong.

https://p.dw.com/p/44dRZ