Hadhara kuu ya Umoja wa mataifa inatarajiwa kuupigia kura mswaada wa azimio linalopinga kutambuliwa mji wa Jerusalem// Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limesema uhakika wa kupatikana chakula katika maeneo ya Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini unaendelea kupungua kwa haraka// Kongamano la Kiswahili la Kimataifa limefayika leo Zanzibar.