1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S21 Desemba 2016

Polisi nchini Ujuerumani wanamtafuta raia wa Tunisia anayeshukiwa kuhusika katika shambulizi la lori kwenye soko la Krismasi mjini Berlin Jumatatu usiku// Kundi la mwisho la wakaazi wanaoishi katika eneo linalodhibitiwa na waasi la Aleppo wanasubiri bado kuhamishwa// Kampuni ya magari ya Volkswagen imefungua kiwanda cha kuunda magari yake nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/2UgKB