21.10.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 21.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

21.10.2021 Matangazo ya Mchana

Watu 16 wameuwawa baada ya waasi kutoka Uganda ADF kukishambulia kijiji cha Kalembo+++UN yapongeza juhudi za Umoja wa Afrika katika kusaidia mchakato wa kisiasa eneo la Maziwa Makuu+++Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan amefanya ziara katika nchi kadhaa za Afrika wiki hii kuelekea mkutano wa kibiashara na uchumi kati ya Uturuki na Afrika.

Sikiliza sauti 60:00