21.10.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 21.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

21.10.2021 Matangazo ya Asubuhi

Mamia ya malori yaliyosheheni bidhaa yamekwama katika bandari nchini Sudan, makontena kadhaa yako bandarini hapo yakiwa hayajaguswa+++Maandamano mapya yaliyojawa vurugu yameanza tena kushika kasi katika taifa pekee la utawala wa kifalme usiofuata katiba barani Afrika la Eswatini+++Urusi yaialika Taliban kwa mazungumzo ya NATO.

Sikiliza sauti 52:00