Vikosi vya Kikurdi vyaondoka mji wa mpakani Syria/ Johnson atajaribu tena hii leo kulitanabahisha bunge liunge mkono makubaliano ya Brexit/ Machar aonya Sudan Kusini kurejea katika machafuko/ Kenya: Serikali imepeleka chakula cha msaada kwa familia zilizoathirika pakubwa na mafuriko kwa kutumia ndege