1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.10.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Oktoba 2019

Spika wa Bunge la Uingereza ameamuru kuwa serikali ya waziri mkuu Johnson haiwezi kuwataka wabunge kupigia kura tena makubaliano ya Brexit/ Serikali ya Lebanon yapitisha mpango wa mageuzi kutuliza maandamano/ Kinshasa: Maandamano ya kupinga rushwa na kutaka vyombo vya kisheria kufanya kazi kama kawaida/ Serikali ya Tanzania na Kampuni ya kuchimba madini ya Barrick zimetangaza kufikia makubaliano

https://p.dw.com/p/3RfRL