1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.09.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S21 Septemba 2018

Idadi ya waliokufa baada ya kuvuko cha MV Nyerere kuzama katika eneo la Ziwa Victoria mkoani Mwanza nchini Tanzania imeongezeka na kufika watu 86// Serikali ya Tanzania imesema inazuia kwa muda matangazo yote ya radio na televisheni nchini humo yanayohusu elimu ya uzazi wa mpango kwa umma katika kile wizara ya afya ilichoeleza kuwa inalenga kuyapitia upya maudhui ya matangazo hayo.

https://p.dw.com/p/35Inr