Tume huru ya mipaka na uchaguzi nchini Kenya IEBC imesema marudio ya Uchaguzi wa rais yatafanyika tarehe 26 mwezi Oktoba// Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma kwa mara ya kwanza amezungumzia tukio la kushambuliwa kwa mbunge wa Chadema Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu// Kila mwaka siku ya kimataifa ya amani duniani inaadhimishwa siku kama ya leo tarehe 21 Septemba.