1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.07.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Julai 2020

Tundu Lissu ataka polisi ya Tanzania iimpe ulinzi/ Magwiji wabwagwa kura ya maoni ya CCM Zanzibar/ Al-Bashir afikishwa mahakamani/ China imesema itachukuwa hatua zinazohitajika baada ya serikali ya Marekani kuziwekea vikwazo vya kibiashara kampuni 11/ Kenya: Jamii asili ya Ogiek imewasilisha malalamiko kwa Tume ya Umoja wa Afrika kuhusu sintofahamu inayogubika zoezi la kuwaondosha watu msituni

https://p.dw.com/p/3fenT