21.06.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 21.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

21.06.2019 Matangazo ya Jioni

Waasi wa Houthi nchini Yemen wanaosaidiwa na Iran wamehujumu uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kambi ya kijeshi kwa mabomu yaliyodondoshwa na ndege inayoruka bila ya rubani// Viongozi wa maandamano nchini Sudan wamewatolea wito wafuasi wao leo kujiandaa kwa maandamano makubwa zaidi// Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini yuko barani Afrika kwa ziara rasmi.

Sikiliza sauti 60:00