1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.05.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Mei 2020

Mpinzani mkuu katika kinyang’anyiro cha urais nchini Burundi, Agaton Rwasa amelalamikia kufanyika udangayifu mkubwa ikiwa ni siku moja baada ya zoezi la kupiga kura// Zitto Kabwe akosoa mkakati wa rais Mafuguli kuhusu corona/DR Congo- Wapiganaji wa Mai-Mai wapatao mia moja wameamua kuweka chini silaha na kujisalimisha kwa serikali mbele ya tume ya umoja wa mataifa Monusco.

https://p.dw.com/p/3cafy