21.05.2020 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 21.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

21.05.2020 Matangazo ya Asubuhi

Raia wa Burundi hapo jana walipiga kura kumchagua Rais, wabunge na madiwani// Miaka 20 baada ya wapiganaji wa chini kwa chini wa Hezboullah kuviadhibu vikosi vya mwisho vya Israel kutoka Lebanon kusini, pande zote mbili zinajiweka tayari kwa kile kinachoweza kuwa vita vingine// Kando na athari za kiafya na kiuchumi, ugonjwa wa COVID-19 umesababisha pia unyanyapaa.

Sikiliza sauti 51:59