Serikali ya Rwanda imepongeza hatua ya Kanisa Katoliki la kuomba msahamaha// Mkurugenzi wa shirika la upelelezi la Marekani FBI James Comey amethibitisha kwa mara ya kwanza kwamba shirika hilo linachunguza uwezekano wa kuwepo na uhusiano kati ya timu ya kampeni ya Rais Donald Trump na Urusi// Leo ni Siku ya Misitu Duniani na kauli mbiu ya mwaka huu ni Misitu na Nishati.