21.02.2022 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 21.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

21.02.2022 Matangazo ya Jioni

Marekani imekubali kuijibu Urusi kwa maandishi na yenyewe itaibua masuala yake kwenye maandishi hayo+++Iran, Urusi na China zafanya luteka za kijeshi kaskazini mwa bahari ya Hindi+++Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha kuwa kiongozi anayewaamini wanawake katika nyadhifa mbali mbali za uongozi nchini Tanzania.

Sikiliza sauti 59:59