Ujerumani imekataa kuungana na washirika wake Marekani na Uingereza katika swala la kuipelekea silaha Ukraine+++Uchumi wa Afghanistan umeporomoka na watu wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula+++Mapigano katika mkoa wa Tigray nchini Ethiopia, yamesababisha wakaazi wengi katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo kushindwa kufurahia maisha ya kila siku +++Algeria yashindwa kulitetea taji lake AFCON.