Maelfu ya watu wamekusanyika kwenye miji kadhaa ya nchini Ujerumani kuonyesha mshikamano kwa wahanga wa shambulizi la bunduki lenye viashiria vya ubaguzi wa rangi/ Umoja wa Ulaya umelaani mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria kwenye jimbo la Idlib/ Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wanaohusika na Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).