Mauaji yaliyofanywa mjini Hanau katika jimo la Hessen nchini Ujerumani yanathibitisha kuwa chuki inayokua kwa kasi imewasili Ujerumani/ Mwenyekiti wa baraza la Usalama na Amani la Umoja wa Afrika Mohd Idris Farah kutoka Djibouti leo amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini Sudan Kusini/ Kumekuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya udhalilishaji na unyanyasaji watoto nchini Tanzania kupitia mitandao.