21.01.2020 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 21.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

21.01.2020 Matangazo ya Mchana

Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania (TCRA) imeanza kuzifunga laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole/ Mkutano wa uchumi wa dunia waanza Davos/ Takriban watu nusu bilioni hawana kazi nzuri ulimwenguni: UN/ Magavana na wabunge ambao wanaandamwa na kesi au tuhuma za uhalifu wa aina yoyote watapokonywa walinzi na silaha

Sikiliza sauti 60:00