Viongozi wa kisiasa na biashara wa dunia walikusanyika katika eneo la milima ya Alpsla Davos nchini Uwisi/ Mahojiano kuangalia ni kwa namna gani zoezi la kuzima laini za simu litaathiri uchumi wa taifa la Tanzania na watumiaji wa simu/ Kongo: Mgomo wa madaktari katika hospitali za serikali/ China: Idadi ya watu walioathiriwa na virusi vya Corona imefikia karibu watu 300