21.01.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 21.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

21.01.2020 Matangazo ya Asubuhi

Nchini Marekani Joe Biden aliapishwa jana kuwa rais wa 46 pamoja na makamu wake wa rais Kamala Harris// Joe Biden ameshinda uchaguzi wa rais kwa sababu anaonekana kujali, wanasema wachambuzi// Kamala Harris ndiye makamu wa rais mpya wa Marekani. Yeye ndiye mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo, wa kwanza mwenye asili ya Afrika, wa kwanza mwenye asili ya India.

Sikiliza sauti 51:59