1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.01.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S21 Januari 2020

Mwanaharakati Greta Thunberg atahuhuduria kongamano la uchumi wa dunia mjini Davos pamoja na rais wa Marekani/ Utafiti mpya: Moja kati ya wasichana watatu kutoka katika familia masikini duniani kote hawajawahi kwenda shule/ Wawakilishi wa wizara za kazi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na eneo la Pembe ya Afrika wanakutana jijini Nairobi kujadili mbinu mwafaka za kuleta uwiano kwenye sekta hiyo,

https://p.dw.com/p/3WXCR