1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.01.2016 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S21 Januari 2016

Waendesha mashitaka wa mahakama ya kimataifa, ICC, leo watajaribu kuwashawishi majaji wa mahakama hiyo kuwa wana ushahidi wa kutosha kumfungulia mashitaka Kamanda wa kundi la waasi wa Uganda la LRA, Dominic Ongwen/ Serikali ya Ufaransa inataka kuunda eneo lisiloruhusiwa mapigano katika kambi kubwa ya wakimbizi ya Calais nchini humo/ Mvua kubwa zimeanza kunyesha nchini Tanzania

https://p.dw.com/p/1HhX9