Mkuu wa Jeshi la Polisi la Tanzania IGP Simon Sirro na Kamanda mkuu wa Polisi wa Jamhuri ya Msumbiji Bernardino Rafael wamekutana leo Mkoani Mtwara// Amnesty yaitaka Tanzania ifanye uchunguzi kuhusu madai ya mauaji dhidi ya wanasiasa wa upinzani na wafuasi// Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, ameachiwa huru kwa dhamana leo, siku ya tatu tangu alipotiwa mbaroni.