1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.11.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Novemba 2018

Siku kuu ya Maulidi: Nchini Tanzania, Katibu mkuu wa Jumuiya na taasisi za Kiislamu ametoa waraka maalumu/ Tanzania: Benki kuu imetanganza kusitisha zoezi la utoaji wa leseni za kuendesha maduka ya kubadilisha fedha za kigeni na kufuta leseni za maduka hayo ambayo yanaendeshwa kinyume na sheria mkoani Arusha / Siku ya kimataifa ya haki za mtoto/Kenya: Mswada wa usawa wa jinsia umejadiliwa bungeni

https://p.dw.com/p/38c2v