20.10.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 20.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

20.10.2021 Matangazo ya Jioni

Kenya yaondoa marufuku ya kutembea usiku/ Syria: Mabomu mawili yamelipuka na kuwauwa watu waliokuwa katika basi la jeshi mjini Damascus/ Leo imetimia miaka 10 tangu kiongozi wa muda mrefu wa Libya Muammar Gaddafi kuondolewa madarakani na kuuawa/ Mwanablogu maarufu nchini Uganda Fred Lumbuye aliekuwa amakamatwa na kuzuwiwa nchini Uturuki, ameachiwa huru

Sikiliza sauti 59:59