Kenya: Maadhimisho ya Sikuu kuu ya Mashujaa/ Burundi na Rwanda zimekubaliana kuanza mazungumzo ya ana kwa ana/ Gavana wa Benki Kuu ya Sudan amesema Sudan imekwishailipa Marekani dola milioni 335, kama fidia kwa familia za wahanga wa mashambulizi ya kigaidi/ Netanyahu: Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu zimefanya historia/ Wamarekani zaidi ya milioni thelathini tayari wamepiga kura mapema