Hali nchini Libya miaka mitano baada ya kutimuliwa madarakani Muammar Gaddafi// Maonesho ya kimataifa ya vitabu yameingia katika siku yake ya tatu katika mji wa Frankfurt, nchini Ujerumani//Nchini Uganda mwalimu wa kujitolea, Esther Kalenzi alikuwa na nia ya kuleta mabadiliko katika jamii yake lakini kitu pekee alichokuwa nacho ilikuwa ni vitabu vichache vya hadithi za watoto.