Mwanasiasa wa upinzani na msanii mashuhuri wa Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, amewasili Uganda akitokea Marekani alikokwenda kwa ajili ya kupatiwa matibabu// Mamlaka nchini Tanzania zinaendelea na msako mkali dhidi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii ambayo haikusajiliwa kwa mujibu wa sheria na hadi sasa tayari wamiliki kadhaa wanashikiliwa na polisi wakihojiwa.