1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.09.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Septemba 2018

Huko nchini Tanzania, Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Kisiwa cha Ukara mkoani Mwanza na Bugorora katika Ziwa Victoria, kimezama leo mchana kikiwa na abiria ndani. Hadi sasa kiasi ya watu watano wamethibitishwa kufariki dunia.

https://p.dw.com/p/35GEY