1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.07.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Julai 2018

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amesema kuwa hana uhakika ikiwa Ulaya itaweza haraka kuwa na uwezo wa kuzikabili changamoto za kutakiwa kubeba jukumu la kutatua migogoro ya dunia ya karne ya 21, katika wakati ambapo utawala wa Trump nchini Marekani unaonekana kujitenga kando na wajibu huo

https://p.dw.com/p/31qDj