1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.04.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S20 Aprili 2021

Tanzania: Wataalamu wa masuala ya uchumi wametaja usimamizi mbovu pamoja na usiri kuwa miongoni mwa sababu ambazo zimezorotesha mradi wa mabasi ya mwendo kasi/ Mtwara: Mzozo wa madereva wa malori/ Kundi la waasi wa maimai limeishambulia kambi ya jeshi mjini Butembo, DRC/ CDU yamchagua Laschet kuwa mgombea wa ukansela/ Rais wa China ataka usawa katika usimamizi wa dunia

https://p.dw.com/p/3sGtR