Uhusiano kati ya bara la Afrika na Israel umekuwa ukibadilikabadilika katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita// Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema mkataba wa amani kumalizika rasmi vita vya Rasi ya Korea unapaswa kusainiwa// Vita dhidi ya ugonjwa wa malaria vimepata msukumo mpya baada ya serikali ya Kenya kuweka bayana wanajiandaa kutoa chanjo kwa watoto ifikapo mwezi wa Oktoba.