20.03.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 20.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

20.03.2019 Matangazo ya Jioni

Mzozo wa kisiasa uliokikumba chama cha Upinzani nchini Tanzania cha CUF > Mahojiano na Zitto Kabwe/ Jeshi la Algeria limetangaza kuwa wananchi wa nchi hiyo wameelezea ''malengo mazuri'' wakati wa wiki kadhaa za maandamano dhidi ya Rais Bouteflika/ Mahakama ya UN yamfunga Radovan Karadzic maisha/ May awasilisha ombi kwa EU kuurefusha mchakato wa Brexit

Sikiliza sauti 60:00