UN: Mzingiro unaoendelea Syria ni uhalifu wa kivita/ Merkel asisitiza mshikamano Umoja wa Ulaya/ Watu 47 wauwawa wakimpinga Kabila/ Papa Francis ameutaja unyanyasaji wa wanawake kwa ajili ya ukahaba kuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu/ Faru mweupe wa mwisho wa kiume duniani amefariki