20.01.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 20.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

20.01.2021 Matangazo ya Asubuhi

Marekani: Rais mpya Joe Biden anaapishwa leo/ Hatua za dakika za mwisho za utawala wa Trump nchini Yemen, Iraq na Afrika Kaskazini zimekosolewa vikali. Lakini mara tu Biden atakapoingia madarakani, ni jinsi gani maamuzi hayo yanaweza kubatilishwa kwa haraka?/ FAO limeonya kwamba nchi kadha za eneo la upembe wa Afrika zinakabiliwa na kitisho kufuatia wimbi la tatu la nzige wa jangwani

Sikiliza sauti 51:59