Donald Trump, tajiri mkubwa anaemiliki majumba, mtangazaji nyota wa kipindi cha televisheni -Reality Show anaapishwa baadae hii leo kuwa rais wa 45 wa Marekani// Viongozi wa Guinea na Mauritania wako katika mji mkuu wa Gambia Banjul katika juhudi za mwisho za kidiplomasia kumshawishi Rais aliyeshindwa uchaguzi Yaya Jammeh kuachia madaraka.