Ni mwaka mmoja tangu tarehe ya mwisho kukaa madarakani kwa Rais Joseph Kabila kwa mujibu wa katiba ipite// Maafisa wa usalama nchini Ujerumani walijua mwaka mmoja kabla ya Anis Amri kushambulia soko la Krismamisi mjini Berlin kuwa alikuwa kitisho kwa usalama.