1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.11.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S19 Novemba 2021

Janga la virusi vya corona linaendelea kuwa changamoto kuu kwa mataifa mbalimbali ulimwenguni+++Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken asema rais Joe Biden ataandaa mkutano wa kilele na viongozi wa Afrika+++Ujerumani yaweka masharti mapya kudhibiti COVID-19+++Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amesema leo Ijumaa kwamba, serikali yake itaondoa sheria tata za kilimo.

https://p.dw.com/p/43EEY