1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.11.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S19 Novemba 2021

Poland na Umoja wa Mataifa zinaweza kuwa na msimamo mmoja juu ya mzozo wa wahamiaji wa Belarus+++Daniel Bekele, mkuu wa Tume ya Haki za Kibinadamu ya Ethiopia, ndiye mshindi wa mwaka huu wa Tuzo ya Afrika ya Ujerumani kwa kutetea haki za binadamu+++Tanzania kupitia wizara ya maliasili na utalii inaadhimisha miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa jeshi la uhifadhi wa wanyamapori na misitu.

https://p.dw.com/p/43Dtj