19.11.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 19.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

19.11.2020 Matangazo ya Jioni

Kamati ya mambo ya nchi za nje ya Umoja wa Ulaya hii leo imekaa kikao ambapo pamoja na mambo mengine imejadili masuala kadha wa kadha, hususan suala la uchaguzi nchini Tanzania pamoja na madai ya ukiukwaji wa demokrasia// Zoezi la kitaifa nchini Kenya la ukusanyaji sahihi za kuunga mkono Mpango wa Maridhiano ama BBI uliostahili kuanza leo, limeahirishwa.

Sikiliza sauti 60:00