1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.11.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Novemba 2018

Mabunge ya Afrika yahimizwa kufuatilia tuhuma za rushwa/ Gabon: Nguvu za makamu wa rais zimeongezwa kuhakisha kile serikali imekiita kuendeleza shughuli za dola, uamuzi ambao upinzani umeupinga/ Mombasa: Kongamano la kutafuta mbinu za kutunza na matumizi bora ya rasilimali za baharini na kuunda ushirikiano wa kiuchumi wa Jumuiya ya majimbo yote sita ya ukanda huo

https://p.dw.com/p/38XiV

kongamano la Kutafuta mbinu za kutunza na matumizi bora ya Rasilimali za Baharini,mbali na kuunda ushirikiano wa Kiuchumi wa Jumuiya ya Majimbo yote sita ya ukanda huo.