1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.10.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S19 Oktoba 2021

Rais mpya wa Iran mwenye msimamo mkali, Ebrahim Raisi, amegeukia ndani ya nchi yake akipiga kampeni ya kumjengea uungwaji mkono kutoka majimboni/ Kamishna wa masuala ya kazi wa Umoja wa Ulaya ameonya juu ya kuongezeka kwa kile kinachoitwa umaskini wa afuta barani Ulaya msimu huu wa baridi / Tanzania: Wasomi wengi hawana sifa na vigezo vinavyowawezesha kufanya vyema katika sekta ya ajira

https://p.dw.com/p/41qVe